Wednesday, July 5, 2017

Fans wetu karibuni

Follow this link to join my WhatsApp group: https://chat.whatsapp.com/CaOINubZoRT5Vl0WpIF6v6

Casting Group

Follow this link to join my WhatsApp group: https://chat.whatsapp.com/2RzPvYXPgWzLaPdHxn8O1D

Friday, January 8, 2016


Sauti ya mfungwa huishia mwambani mwa ukuta wa jera matamanio ya kuona ukijani wa mimea hupumbazwa na harufu mbaya ya mikojo iliyo katika debe la mafuta ya kupikia lililofanywa kuwa ni hifadhi ya najisi..
Mswahili ni mtu safi mpenda hakim taka maendeleo mwenye imani na nchi yake mpigania haki za watoto, mtafutaji wa fulsa kwa kina mama, mtokomezaji wa umasikini unaotokana na ufisadi, uvivu na unyonyaji lakin mswhili mtu wa kwanza duniani kukataa shibe ya rushwa amekula CHANJO YA RUSHWA hayupo tayaari kupeleka upeo wake katka jicho la maiti lililo baki na kumbukumbu za maiti ya mwenziwe aliekuwa akifa kwa mateso ya kupigania haki yake..
Nakumbuka ujio wako nyumbani kwetu ulihamasisha mengi tukaamini kuwa hapa ni mahali fasaha lakin leo hatujutii maamuzi klwa kuwa tumetaka wenyewe acha tuisome hii namba kama ni tutaelewa nibni kusudio lako basi hatutaraumu lakn wapi tuelekee tunajua unafanya kutusaidia lakini mbona hii mitaa ipo kisheria maana huku tulikuwa na serikali yetu…
Mwaka umeanza hiyari zetu tumezibeba na lazima zetu tunazo kwani hakuna wa kumuachia ingawa bado hatujajua tutaanza na kipi kati ya hiyari na lazima…
NAWATAKIA KHERI YA MWAKA MPYA

                                         

                                          UKOMBOZI TEGEMEO LA MTU MWEUSI
                                                UCHUMI KILIO CHETU
                                                  ELIMU BUREEEE
                                                          KULALA NJE

Monday, November 30, 2015

Dibaji ya Mswahili
this weeks
   People Engaged  - 6,159
    Post Reach  - 778